Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi i (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
No comments:
Post a Comment