Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Piga Mkwanja Mrefu na Meridianbet Leo
-
JUMAPILI ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet imefika leo. Suka jamvi
lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao
hutan...
6 hours ago
0 Comments