RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar
, kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Mkoa wa Kusini Unguja
katika Kikjiji cha Kikungwi, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar
iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar
iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo
uliyofanyika leo 16-8-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii
ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha
Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach
Resort &SPA Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika
kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya
Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika
leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini
Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya
Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli
hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo
uliyofanyika leo 16-8-2025WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini
Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya
Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli
hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo
uliyofanyika leo 16-8-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya
Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika
leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
VIJANA wa Kikundi cha uhamasishaji wakishangilia
katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort
&SPA Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025 katika
Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kuifungua hoteli hiyo
VIJANA wa Kikundi cha uhamasishaji wakishangilia
katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort
&SPA Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025 katika
Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akihutubia na kuifungua hoteli hiyo.
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini
Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya
Zanbreeze Beach Resort &SPA Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli
hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo
uliyofanyika leo 16-8-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wafanyakazi wa
Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, baada ya
kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha
Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa
wa Kusini Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Kazi.Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff.
No comments:
Post a Comment