Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye wakifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha saba na nane kutoka Uvinza (Tanzania) hadi Musongati (Burundi), Agosti 16, 2025 Musingati nchini Burundi. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha saba na nane kutoka Uvinza (Tanzania) hadi Musongati (Burundi), Agosti 16, 2025 Musingati nchini Burundi. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Machibya Masanja wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha saba na nane kutoka Uvinza (Tanzania) hadi Musongati (Burundi), Agosti 16, 2025 Musingati nchini Burundi. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi huoWaziri Mkuu Kassim Majaliwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha saba na nane kutoka Uvinza (Tanzania) hadi Musongati (Burundi), Agosti 16, 2025 Musingati nchini Burundi. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Machibya Masanja wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha saba na nane kutoka Uvinza (Tanzania) hadi Musongati (Burundi), Agosti 16, 2025 Musingati nchini Burundi. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha saba na nane kutoka Uvinza (Tanzania) hadi Musongati (Burundi), Agosti 16, 2025 Musingati nchini Burundi. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment