MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama
Cha Mapinduzi,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia
ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
akizungumza na Wananchi katika mkutano wake uliyofanyika katika viwanja vya Mao
Zedung Jijini Zanzibar, baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa
Zanzibar katika Ofisi za Tume ya
Uchaguzi Zanzibar Maisara leo 30-8-2025.

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwasilimia Wananchi baada ya kumaliza mkutano wake na Wananchi uliyofanyika katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.
No comments:
Post a Comment