Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Gwaride katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima ya Gwaride la heshima katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.202
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa historia ya Magereza Tanzania kupitia kumbukumbu za picha na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Magereza (SSP) Killian Ngalla katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025. Kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia kofia za Askari wa Magereza zinazotenezwa na Jeshi hilo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025. Kulia ni Mkaguzi Msaidizi wa Magereza, John Pesambili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa begi lililotengenezwa na Mfungwa aliyemaliza kifungo chake, Leonidia Loi Kabi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Generali wa Jeshi la Magereza nchini Jeremiah Katungu katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua kitabu cha Mwongozo wa Progamu za Urekebishaji katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, Kamishina Generali wa Jeshi la Magereza nchini Jeremiah Katungu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Maduhu Kazi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi begi cheti cha uhitimu wa mafunzo ya ushonaji, Mfungwa aliyemaliza kifungo chake, Leonidia Loi Kabi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya kuhitimisha kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza na Kamishina Generali wa Jeshi la Magereza nchini Jeremiah Katungu katika kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025. Kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 64 ya Jeshi la Magereza kwenye Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA), Magereza Ukonga jijini Dar es salaam, Agosti 26.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment