Habari za Punde

Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mahonda Kwa Tiketi ya CCM Mhe. Mboja Ramadhani Amechukua Fomu ya Uteuzi Uwakilishi

 

Afisa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Mwanamkuu Gharib Mgeni akimkabidhi fomu ya uteuzi Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Mahonda kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mboja Ramadhan Mshenga Katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (ZEC) Mahonda.

Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi Jímbo la Mahonda kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mboja Ramadhan Mshenga Kwa furaha akionesha fomu ya Uteuzi ya kugombea nafasi hiyo baada ya kuchukuwa katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (ZEC) Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Mahonda.

PICHA NA MARYAM KIDIKO.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.