Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Tumbaku tarehe 29 Agosti, 2025 kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Morogoro katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho zilizozinduliwa jana Jijini Dar es Salaam.
DKT. MWAMBA AWAPONGEZA WAANDAAJI WA BAJETI AKIHITIMISHA MAFUNZO
-
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw.
Lusius Mwenda, akifunga Kikao Kazi cha Wataalam wanaoandaa na kusimamia
Bajeti y...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment