Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ameondoka Nchini kwa Ziara ya Kikazi Nchini Belarus

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 202025 ameondoka nchini kwenda Bellarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani, Waziri Mkuu wa mkewe Mary Majaliwa (katikati) wakisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2025 ameondoka nchini kwenda Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam aliagwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Pichani, Waziri Mkuu  akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda kabla ya kuondoka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.