Habari za Punde

Rais wa Zanzibarb na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Jengo Jipya la Afisi Kuu za Tume ya Uchaguzi Zanzibar

MUONEKANO wa Jengo Jipya la  Ofisi Kuu ya  Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)  lililofunguliwa leo 16-7-2025  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar leo 16-7-2025 kwa ajili ya ufunguzi wa Ofisi za Tume hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-7-2025 na (kushoto Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Jiseph Kazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakipongeza baada ya kulifungua Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) lilioko Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-7-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kilifungua Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar hafla hiyo iliyofanyika leo 16-7-2025, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jaji Georg Joseph Kazi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina  (kushoto kwa Rais) wakati akitembelea Ofisi za Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar  baada ya kulifungua leo 16-7-2025 na (kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina wakati akitembelea Ofisi za Jengo Jipya la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar,  baada ya kulifungua leo l6-7-2025 na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Georg Joseph Kazi  na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya Shukrani na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Georg Joseph Kazi, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar ufunguzi huo uliyofanyika  leo 16-7-2025.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi wa Afisi za Tume uliyofanyika leo 16-7-2025.











 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.