RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali,Wanafamilia
na Wananchi alipowasili katika viwanja vya kaburi la Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kwa ajili ya kumuombea dua,
kabla ya kufunguwa Kambi ya Matibabu na Uchunguzi wa Afya, yanayofanywa na Timu
ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali Hassan
Mwinyi kwa vitendo kupitia matibabu hayo, yanayofanyika katika Kijiji cha
Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 21-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Familia
na Wananchi katika kumuombea dua Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kabla ya kufunguwa Kambi ya Matibabu na
Uchunguzi wa Afya, unaofanywa na Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni
kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa vitendo kupitia matibabu hayo,
yaliyofanyika katika Kijiji cha Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo
21-7-2025

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Tiba
Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Msafiri Marijani, wakati akitembelea Kambi ya
Matibabu na Uchunguzi wa Afya, kabla ya kuifungua, inayofanyika katika Kijiji cha Mwangapwani
Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, leo 21-7-2025 itatowa huduma za afya kwa Siku Sita kwa
Wananchi, chini ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni kumuenzi
Hayati Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Kambi ya Matibabu na
Uchunguzi ya Afya kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni kumuenzi
Hayati Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
vitendo kupitia matibabu hayo, yatayofanyika kwa Siku Sita na Timu ya Madaktari
Bingwa kutoka Nchini Kenya katika Kijiji cha Mwangapwani Wilaya na Kaskazini
“B” Unguja leo 21-7-2025
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa
katika viwanja vya Kijiji cha Mwangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja wakisubiri
kupata huduma za Matibabu na uchungua afya zao, wakati wa hafla ya ufunguzi wa
Kambi hiyo ya Siku Sita ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya,iliyofanyika
leo 21-7-2025, ikiwa ni kumuenzi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana Mwakilishi wa Timu ya Mdaktari
Bingwa kutoka Nchini Kenya Mhandisi Alwi Ahmad Badawi, baada ya kufungua Kambi
ya Matibabu na Uchuguzi wa Afya kwa Wananchi, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali
Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yanayofanyika
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa Siku Sita kuazia leo 21-7-2025
No comments:
Post a Comment