RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Miss
World Limited ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo
Bi.Julia Evelyn Morley (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-7-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa
Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
MSHINDI wa Taji la Urembo la Dunia 2025 Opal
Chuangsri kutoka Nchini Thailand na (kulia ) Mshindi wa Taji la Urembo la
Afrika 2025.Hasset Admassu kutoka Nchini Ethiopia (kushoto) wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussen Ali Mwinyi
(hayupo pichani) wakati wa mazungumzo na ujumbe huo ukiongozwa na Mwenyekiti na
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited.Bi.Julia Evelyn Morley,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalumu mgeni wake
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited Bi.Julia Evelyn
Morley, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar 21-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake
(kulia kwa Rais) Mshindi wa Taji la Urembo la Dunia 2025. Opal Suchata Chuangsri
kutoka Nchini Thailand (kushoto kwa Rais) Mshindi wa Taji la Urembo Afrika 2025.Hasset
Dereje Admassu kutoka Nchini Ethiopia, baada ya kumaliza mazungumzo na ujumbe
wa Kampuni ya Miss World Limited, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar 21-7-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mshindi wa Taji la Miss World 2025 Opal Suchata Chuangsri, baada kumaliza mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Miss World Limited, , ukingozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bi. Julia Evelyn Morley, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mwenyekiti na
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited Julia Evelyn Morley, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-7-2025
No comments:
Post a Comment