Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia utengenezaji wa dawa za binadamu alipotembelea kwanda cha Belmedpreparaty kilichopo Minsk nchini Belarusi Julai 22, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia utengenezaji wa dawa za binadamu alipotembelea kwanda cha Belmedpreparaty kilichopo Minsk nchini Belarusi Julai 22, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama matrekta na zana mbalimbali za kilimo alipotembelea kiwanda cha Minsk Tractor Plant kinachotengeneza mitambo na zana za kilimo akiwa katika ziara ya kikazi nchini Belarus Julai 22, 2025. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi. 
No comments:
Post a Comment