Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Mitchell pamoja na ujumbe wake, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini St. George’s, Grenada Julai 29.2025. Mheshimiwa Majaliwa anahudhuria jukwaa hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Mitchell pamoja na ujumbe wake, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini St. George’s, Grenada Julai 29.2025. Mheshimiwa Majaliwa anahudhuria jukwaa hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Mitchell, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini St. George’s, Grenada Julai 29.2025. Mheshimiwa Majaliwa anahudhuria jukwaa hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Mitchell pamoja na ujumbe wake, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu jijini St. George’s, Grenada Julai 29.2025. Mheshimiwa Majaliwa anahudhuria jukwaa hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment