Habari za Punde

Maadhimisho ya Kutimiza Miaka Miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation.Tanzania

Mchezaji wa mpira wa Kikapu, Hasheem Thabeet, akipita jukwaani na Vazi la Asili kwa mikogo,  wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya Ua mmoja wa Wanachama wa Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, Joha Simba, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, yaliofanyika  katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jana.
 Mke wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mama Margareth Samuel Sitta, akipita jukwaani na Vazi la Asili kwa mikogo.Wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation.
 MBunge wa Bunge la Afrika Mashariki,Shy-Rose Bhanji, akipita jukwaani na Vazi la Harusi kwa mikogo, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, yalofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.