Habari za Punde

Balozi Seif Awasili Zanzibar Baada ya Ziara ya Israel, Cuba na UAE


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akivishwa shada la mauwa na Mtoto wake mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi yake Said Shaabani mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.kutoka Ziara ya wikiTatu za nchi za Izrail,Cuba na UAE.

Makamu wa PIli wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akisalimiana na Mtoto wake Mdogo mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Israil,Cuba na UAE.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akijibu hoja mbalimbali za waandishi wa Habari waliofanya mahojiano nao mara baada ya Kuwasili kutoka katika ziara ya Nchi za Izrail,Cuba na UAE

Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.