Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wajumbe wa
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii,walipofika Ikulu
Mjini Zanzibar Kujitambulisha,chini
ya Mwenyekiti wake Dkt.Khalid Salum Mohamed,(wa pili kulia).
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, Dkt.Khalid Salum Mohamed,(aliyesimama)
akitoa maelezo kwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, wakati Wajumbe wa Bodi hiyo walipofika
Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii,walipofika
Ikulu Mjini Zanzibar
Kujitambulisha,chini ya Mwenyekiti wake Dkt.Khalid Salum Mohamed,(wa nne kushoto). [Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]
No comments:
Post a Comment