Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake pamoja na Uongozi wa Taasisi ya Ufugaji wa samaki,chini ya Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dr.Phan Thi Van,(katikati) wakiwa katika mpicha ya pamoja baada ya kupata taarifa za Tafiti za ufugaji wa Samaki zilizotolewa na Mkurugenzi huyo,wakati wa ziara ya Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ulipotembelea katika Taasisi hiyo nchini Vietnam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dr.Phan Thi Van,(katikati) wakipanda mti baada ya kupata taarifa za Tafiti za ufugaji wa Samaki zilizotolewa na Mkurugenzi huyo,wakati wa ziara ya Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ulipotembelea katika Taasisi hiyo nchini Vietnam,ikionesha ishara ya uhusiano na ushirikiano kwa nchi hizo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dr.Phan Thi Van,(kulia)baada ya kupiga picha ya pamoja baada ya kupata taarifa za Tafiti za ufugaji wa Samaki zilizotolewa na Mkurugenzi huyo,wakati wa ziara ya Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,ulipotembelea katika Taasisi hiyo nchini Vietnam
Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi ya ZanzibarAbdilah Jihadi Hassan,akiuliza suala baada ya kutolewa taarifa za Tafiti za ufugaji wa Samaki zilizotolewa wakati wa ziara ya Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibarulipotembelea katika Taasisi hiyo nchini Vietnam,
[Picha na Ramadhan
No comments:
Post a Comment