Habari za Punde

Karume Cup. Usolo na JKU imeshinda kwa Vikapu 70--30


Mchezaji wa timu ya JKU Khamis Juma akiambaa na mpira wakati wa mchezo wa Basketi Ball kati ya timu yake na timu ya Usolo, timu ya JKUimeshinda kwa vikapu 70  -30.  
Mchezaji wa timu ya Usolo Othman Mikidadi, akidanki katika mchezo wa basketi ball wa kombe la Karume. 
Mchezaji wa timu ya Usolo Othman Makidadi, akimpita mchezaji wa timu ya JKU,katika mchezo wa Basketi Ball wa Kombe la Karume unaofanyika katika viwanja vya Gmykhana, timu ya KJU imeshinda kwa Vikapu 70 - 30

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.