Habari za Punde

Maalim Seif akitia saini kitabu cha maombolezi ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa India

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitia saini kitabu cha maombolezi katika Ubalozi mdogo wa India uliopo Migombani Zanzibar, kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa 12 wa nchi hiyo marehemu Inder Kumar Gujral (pichani).
Marehemu Inder Kumar Gujral alikuwa Waziri Mkuu wa India kuanzia mwezi April 1997 hadi March 1998. Alizaliwa Disemba 4, 1919 na kufariki Novemba 30, 2012. Kulia ni Naibu Balozi mdogo wa India aliyepo Zanzibar D.J.Mohan Rao. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.