Habari za Punde

Maalim Seif alipowasilisha maoni yake binafsi tume ya mabadiliko ya katiba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi warka maalum Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania Jaji mstaafu Joseph Warioba baada ya kuuwasilisha mbele ya wajumbe wa tume hiyo ikiwa ni maoni yake binafsi kuhusiana na mabadiliko ya katiba
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania. kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mstaafu Joseph Warioba na kulia ni Makamu mwenyejiti Augostino Ramadhan.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania Salim Ahmed Salim baada ya mazungumzo na wajumbe wa tume hiyo nyumbani kwake Mbweni Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwasilisha

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.