Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited,(PBZ) Juma Amour, kwa Mchango wa Benki hiyo kuchangia Kombe la Mapinduzi Cup.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Ibrahim Raza wa Kampuni ya Hassan & Sons, kwa Mchango wa Kampuni hiyo kuchangia Kombe la Mapinduzi Cup,hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Cheti cha Shukurani Mwakilishi wa Jimbo la Bububu na Meneja wa Ocean View Hotel,Hussen Ibrahim Makungu, kwa Mchango wa Hoteli yake kuchangia Kombe la Mapinduzi Cup,katika
hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Mapinduzi CUp na Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi CUP,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza nao leo Ikulu Mjini Zanzibar,pia Kukabidhi Vyeti vya Shukurani kwa michango mbali mbali iliyotolewakufanikisha Mashindano hayo
Shein,alipokuwa akizungumza nao leo Ikulu Mjini Zanzibar,pia Kukabidhi Vyeti vya Shukurani kwa michango mbali mbali iliyotolewakufanikisha Mashindano hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Mapinduzi CUP ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kupata kupata nasaha
pamoja na kukabidhi vyeti vya Shukurani kwa wahisani waliochangia kufanikisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi CUP
pamoja na kukabidhi vyeti vya Shukurani kwa wahisani waliochangia kufanikisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi CUP
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Wahisani waliochangia Kombe la Mapinduzi CUP,walipofika ikulu kwa kupewa Shukurani kwa michango
yao leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
yao leo Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment