Habari za Punde

Hali ya Upepo Baharini leo.

 Vijana wanaotowa huduma ya kusafirisha Watalii kwenda Kisiwani wakishindwa kuondoka katika bandari ya Forodhani kutokana na upope mkali ulioikumba bahari ya Zanzibar na boti yao kuzama kwa kuingia maji na kushindwa safari yake.

 Hivi ndivyo ilivyokuwa katika pwani ya Zanzibar kukumbwa na upope na mawambi makumbwa ya kuleta madhara kwa vyombo vidogo baharini kama inavyoonekana boti hii ikiingia maji wakati wakijitayarisha kuondoka ufukwe wa forodhani na kushindwa kuondoka kutokana na upope mkali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.