Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Tanzania alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya Uzinduzi wa Utoaji wa Vitambulisho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikamilisha usajili wa Kitambulisho cha Taifa wakati wa Uzinduzi wa Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Perera Ame Silima akimkabidhi Kitambulisho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein. baada ya kuzindua Utoaji wa Vitambulisho kwa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akionesha Kitambulisho chake. baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Perera Ame Silima katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho chake Mama Maria Nyerere.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho chake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi..
Jaji Mkuu wa Makakama Kuu Tanzania Othman Chande akionesha Kitambulisho chake baada ya kukabidhiwa katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi na Rais wa Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis akipokea Kitambulisho chake akikabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamred Shein.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Nassor Mazrui akionesha kitambulisho chake baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraa la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.akimkabidhi Kitambulisho chake Mwananchi Shawal Zam Ali katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi wakati wa Uzinduzi huo.
Mwananchi kutoka Chama cha CUF Mohammed Khamis akionesha Kitambulisho chake baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis akikabidhiwa Kitambulisho chake cha Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kitambulisho chake Baba Askofu wa Kanisa la Mkunazini Askof Hafidh, katika viwanja vya baraza la wawakilishi.
Msanii wa Muziki wa Taraab Tanzania Aisha Mashauzi akionesha Kitambulisho chake kwa Wananchi baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar.na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. AliMohamed Shein, katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wakishuhudia uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Viongozi Madiwani wa Wdi mbalimbali wakifuatilia utoaji wa Vitambulisho.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho na Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande wakibadilishana mawazo kabla ya kuaza kwa uzinduzi wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa Zanzibar.
Viongozi wa Vyama vya Siasa wakifuatilia utoaji wa Vitambulisho vya Taifa katika uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi.
Viongozi wa Serekali na Dini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia katika uzinduzi wa utoaji wa Vitambulisho Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Dk. Mwinyihaji Makame akizinduwa Daftari la Makaazi ya Shehia Zanzibar,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwinyihaji Makame akionesha Daftari la Makaazi ya Shehia, baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Perera Ame Silima na kulizindua katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serekali, baada ya kuzindua Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Tanzania katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi.
kweli akili si nywele ..... kwa sababu wote waliopo hapo wana nywele lakini akili..... , nchi haina maji ya kutosha , umeme kwa mgawo , shule duni , hospitali majeruhi , hivi kweli ni akili kuwa na vitambulisho ? na kutumia mabilioni ya pesa kwa upumbavu wa vikadi? mtajaza......
ReplyDeleteNyundo ya mwisho, ngoo. Zanzibar kwisha.
ReplyDeleteNaona hawa vitongozi mana si viongozi ,,, wataka sifa kupewa kama walivyo UK na USA na Dubai,, hao wao wana haki kusifiwa wanajenga nchi zao jamani... wakilala wakiamka wanabuni la maendeleo la nchi yao kwa future, lakini nyie matumbo yenu basi,,, MUTAULIZWA SIKU YA SIKU AMBAPO MIDOMO YENU ITAFUNGWA VISEME VIUNGO VYENU NA MATUMBO YENU YA RIBA NA DHULMA, Mutajiju wacha tuteseke hapo pa muda wa mapito tukapate raha huko ambapo mutatamani murudishwe kwa mara ya pili. wapi@!!!!!!!! YAILATAN,,, duuu!!! wala haileti maana kutambulishana kuacha kazi kuja kukusanyika hapo mukajambiana,,, madhalim wakubwa wa nafsi zenu....
ReplyDelete