Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Kimataifa kuzungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika uliomalizika mjini Addis Ababa Ethiopia July 01-2-013.
Ujumbe wa Tanzania uliofuatana na Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal wakifuatilia kwa makini mkutano wa Afrika uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika . Mkutano huo ulimalizika jana jioni July 01-2013 mjini Addis Ababa Ethiopia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Viongozi wa kimataifa waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia July 01-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mommmed Gharib Bilal, akifunga Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa Kimataifa wenye lengo la kutokomeza njaa Barani Afrika .Mkutano huo ulimazika jana jioni mjini Addis Ababa Ethiopia ( July 01-2013).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa AUC Dk. Nkosazana Dlamina Zuma, kwenye ukumbi wa Mikutano wa umoja huo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Viongozi wa Kimataifa uliozungumzia juu ya kutokomeza tatizo la njaa Barani Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia jana jioni July 01-2013 (Picha na OMR)
MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAFIKIENI WANANCHI VIJIJINI: DKT. JINGU
-
Na Mwandishi Wetu WMJJWM- Iringa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum, Dkt. John Jingu amewataka Maofisa Maende...
56 minutes ago

No comments:
Post a Comment