RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA
MWALIMU JULIUS NYERERE
-
PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada...
52 minutes ago
mnasema nchi yetu haina ubaguzi kidini , mbona hatujaona akina JK, bilal , sefu iddi au sheni kwenda kumjulia hali huyu mtu , bila ya shaka ni polisi ambao ni watu wa serikali wamemjeruhi ndio maana hawataki kuonyesha sura zao kwa huyu mtu waliempiga. Jee mnamhukumu kuwa ni adui wakati hamna ushahidi kuwa huyu ni adui tanzania?
ReplyDelete