Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa
Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa
ajili ya kusalimiana na Rais jana
Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa
Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa
ajili ya kusalimiana na Rais jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa
Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada
ya mazungumzo yao jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment