Habari za Punde

Kijana Mwanaid Vuai Saleh Amefunguliwa Akauti ya Kupokelea Misaada katika Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd.

Taarifa kwa Wananchi kuhusiana na kupokea Misaada ya fedha itakayowasilishwa kwa ajili ya Kijana Mwanaid Vuai Saleh, ili iweze kumsaidia kupata Matibabu nje ya Nchi.

  Unaweza kutumia Akaunti ya PBZ Tawi la Malindi Unguja imefunguliwa akaunti hiyo yenye 

                            Namba 051206007686.
                  yenye jina la ndugu Pavu Omar Ameir.

Tawi la Malindi Unguja , Imefunguliwa leo 31-5-2014. Ili kutumika kwa kuchangia fedha hiyo.
 kutoka kwa Wasamaria wema na Wananchi kwa jumla. 


Kwa maelezo Zaidi unaweza kuwasiliana na Ndugu wa Mwanaidi Vuai Saleh

           Ali Mkali  kwa hiyo NO 0777 469345

Pavu Omar NO 0779 485306

Pia unaweza kuwasiliana na Mdau wa Blog Hii Othman Maulid
No 0777424152.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.