Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI KWA MWAKA 2014 JIJINI DAR LEO.

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi kwa mwaka 2014, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo mchana. Mbali na ufunguzi wa mkutano huo pia Makamu, alishuhudia hafla ya kuapishwa kwa Wakandarasi
 Makamu wa Rais Dkt Bilal, akipokea zawadi baada ya kufungua rasmo mkutano huo kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Makandarasi.
Waziri wa Wizra ya Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal kufungua mkutano huo.

 Washiriki wa mkutano huo wa Mashauriano wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua mkutano.
Wakandarasi wakila kiapo mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt John Pombe Magufuli na Mahakimu wa Mahakama ya Kisutu wakati wa mkutano huo.


Washiriki wa mkutano huo wa Mashauriano wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua mkutano. 
 
 Wakandarasi wakila kiapo mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt John Pombe Magufuli na Mahakimu wa Mahakama ya Kisutu wakati wa mkutano huo.(picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.