Habari za Punde

Rais Kikwete Aongoza Mkutano wa Kamati ya Viongozi wa Afrika kuhusu Tabia Nchi.


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wahi  ulioitishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon pembeni mwa mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika mjini Malabo, Equatorial Guinea leo Juni 27, 2014
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Ban Ki-moon,wakiwa katika ukumbi wa mkutano. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.