DC MPOGOLO ATOA NENO KWA WAJUMBE KAMATI ZA MIKOPO NGAZI YA KATA
-
Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewataka wajumbe wa kamati ya
huduma ya mikopo ngazi ya kata kuhakikisha wanakuwa vinara wa ukusanyaji
marejes...
3 hours ago
Kaka Othman hebu tuulizie huduma zipi hasa zunatolewa hapo na gharama zake. Sisi wanyonge Wa mungu tunataka kuomba mungu hapo asaa allah akatupa shifaa kupitia hapo. Tumechoka na matibabu mabovu kutoka kwa madaktari na wauguzi wasio na maadili ya kazi zao.
ReplyDeletemdao hapo juu umechekesha sana. tatizo la znz hata watu binafsi wakifungua hospitali zao madaktari na wauguzi ni walewale wa mnazi mmoja. hivyo huna pa kuwakwepa. unaweza kukuta daktari mmoja wa kigeni waliobakia ni wale wa mnazi mmoja wanakwenda hapo kama part time.
ReplyDeletenadhani jambo la msingi kama wanasoma hapa hawa madaktari wabadilike. wasijione kama miungu watu na kusumbua wananchi.