WANACHAMA wa Jumuiya ya Vijana ya Machomanne Chake
Chake Pemba, wakiwa katika harakati zao za kupanda miti katika bustani mbali mbali za barabara ya Machomanne Chake Chake, mara baada ya kupatiwa vifaa mbali mbali na
mke wa Mkamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
No comments:
Post a Comment