WANACHAMA wa Jumuiya ya Vijana ya Machomanne Chake
Chake Pemba, wakiwa katika harakati zao za kupanda miti katika bustani mbali mbali za barabara ya Machomanne Chake Chake, mara baada ya kupatiwa vifaa mbali mbali na
mke wa Mkamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
Kimataifa : Pinda Ahutubia Kongamano vyama vya Ukombozi akimwakilisha Dkt
Samia Huko Afrika Kusini
-
Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vya...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment