Habari za Punde

Mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Chwaka leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanaCCM na Wananchi wa Jimbo la Chwaka katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Kijiji cha Chwakawilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinakisalimiana na viongozi wa CCM wakatii alipowasili Jimbo la Chwaka katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Kijiji cha Chwakawilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinakisalimiana na viongozi wa CCM wakatii alipowasili Jimbo la Chwaka katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa mpira Kijiji cha Chwaka, wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.]
2 comments:

  1. Mbona naona kama valantia wa miaka ya 1980-90? CCM kweli wameishiwa

    ReplyDelete
  2. Kwenye mkutano wamenyoosha miguu kama wapo matangani. Huku ndiko kuishiwa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.