Menu

Monday, October 26, 2015

Waandishi wa Habari wakiwa Bizz Kupata Matokeo ya Kura za Urais Zanzibar.

Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Ndani na Nje wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar kwa sasa tayari majimbo manne tayari yameshatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.

1 comment:

  1. Hizi picha watu wako bwawani ni za Muda mrefu mbona hamtupi update nini kinaendelea

    ReplyDelete