Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Ndani na Nje wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar kwa sasa tayari majimbo manne tayari yameshatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zeding
Timu ya Muembemakumbi City Imeshinda Bao 2-0- Dhidi ya Timu ya Chipukuzi
-
Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City akimpita beki wa Timu ya Chipukizi
wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika leo
20-10-...
22 minutes ago

Hizi picha watu wako bwawani ni za Muda mrefu mbona hamtupi update nini kinaendelea
ReplyDelete