Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki na jazba ili kuwaondolea gharama za matatizo wao wenyewe na familia zao. Wito huo umetolewa na Kamishna wa Polisi zanzibar Hamdan Omar Makame alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko makao makuu ya Polisi zanzibar.

No comments:
Post a Comment