Habari za Punde

Dk Shein awaapisha Makatibu, Manaibu na Mshauri wa Rais Ikulu leo


Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu(kulia) Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Said Hassan Said (kushoto) na Mshauri wa Rais Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw.Abrahman Mwinyijumbeni miongoni mwa viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mshauri wa Rais Utamaduni,Katibu Tume ya Mipango,naibu katibu Wizara ya katiba na Sheria na Katibu Kamisheni ya Utumishi wa Umma leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini  pia walihudhuria katika hafla ya kuapishwa Mshauri wa Rais Utamaduni,Katibu Tume ya Mipango,naibu katibu Wizara ya katiba na Sheria na Katibu Kamisheni ya Utumishi wa Umma leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Said Hassan Said (kushoto) na Mshauri wa Rais Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Bw.Abrahman Mwinyijumbeni miongoni mwa viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Mshauri wa Rais Utamaduni,Katibu Tume ya Mipango,naibu katibu Wizara ya katiba na Sheria na Katibu Kamisheni ya Utumishi wa Umma leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Chimbeni  Kheir Chimbeni  kuwa Mshauri wa  Rais Masuala ya  Utamaduni hafla iliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha  na Ikulu]


 Baadhi ya Makatibu katika taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  waliohudhuria katika hafla ya Kiapo kwa wateuliwa  na Rais wa Zanzibar walioapishwa leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Juma Hassan Reli  kuwa  Katibu  Mtendaji wa Tume ya Mipango, katika hafla iliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,kabla alikuwa Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania,[Picha  na Ikulu]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Mdungi Makame Mdungi kuwa  Katibu Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika hafya  iliyofanyika  leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha  na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Kai Bashir Mbarouk  kuwa Naibu  Katibu Wizara ya Katiba na Sheiria katika  hafla iliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha  na Ikulu]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.