Habari za Punde

Dk Shein azindua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha,[Picha na Ikulu.]
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame (kushoto) pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya wakiangalia Uodhoreshaji majina kwa wagonjwa wanaofika Hospitali kwa njia ya Mtandao baada ya kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja leo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, sherehe hizi ni katika shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52,(wa pili kushoto) Dr,Alexander Vogt wa kujitolea wa Shirika la HIPZ kutoka Uingereza,[Picha na Ikulu.]
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini (kushoto) akimsalimia Mtoto aliyefika kupima Nazna Ali Silima,miezi 5 uzito kilo 7.3 katika Hospitali ya Kivunge wagojwa wa nje,baada ya kifungua Hospitali hiyo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Shirika lisilo la kiserikali (HIPZ) kutoka Uingereza,(katikati) Dkt.Tamim Hamad Said Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge na Muuguzi Filonema Raumond Woga (kulia)[Picha na Ikulu

Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Afya na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Hospitali ya Kivunge kwa Wagonjwa wa nje Wilaya ya kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja lililojengwa kwa ufadhili wa Shirika lisilo la kiserikali (HIPZ) kutoka Uingereza ikiwa ni katika shamra shamra za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52 ,[Picha na Ikulu.]
 Meneja Mipango wa Shirika lisilolakiserikali  kutoka Nchini Uingereza (HIPZ) Bibi Pamela Allard akitoa salamu zake wakati wa ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini ,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Wawakilishi wa Mashirika ya Misaada ya kimaendeleo  ambayo yamesaidia vifaa mbali mbali wakitoa salamu zao wakati wa ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini ,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali na mashirika ya kimaendeleo wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini akitoa hutuba ya ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo alipokuwa akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini kutoa hutuba ya ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini akipokea Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Afya Kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw,Michael Mhando,kadi hiyo imetolewa kwa ajili ya Mzee Makame Mjombo wa Gamba mweye umri wa miaka 140,wakati wa sherehe za ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo lililofunguliwa kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame Mwadini akitoa hutuba ya ufunguzi wa Jengo la Wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A.Unguja leo kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, jengo lililojengwa kwa ufadhili wa shirika lisilo la kiserikali la (HIPZ) kutoka nchini Uingereza ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt>Saleh Mohamed Jidawi na Naibu Waziri wa Afya mahmoud Thabiti KomboJecha,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.