Mkuu wa Mkoa wa
kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na viongozi mbali mbali wa
Serikali, katika kikao cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, juu ya Tamko la Serikali kufuatia mabadiliko ya hali
ya Hewa
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na
watendaji mbali mbali wa serikali kisiwani Pemba, juu ya Tamko la Serikali
kufuatia mabadiliko ya hali ya Hewa
Maafisa Wadhamini
Kutoka ofisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakimsikiliza
kwa makini Waizri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mhe:Mohamed Aboud
Mohamed wakati alipokuwa akitoa tamko la Serikali juu ya Masuala ya Maafa kwa
watendaji wa Serikali Kisiwani Pemba
Masheha wa Shehia
mbali mbali za Mkoa wa kusini Pemba, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mhe:Mohamed Aboud Mohamed wakati alipokuwa
akizungumza na watendaji mbali mbali wa Serikali kisiwani Pemba
No comments:
Post a Comment