'LEO HATUKUPATA ABIRIA', GARI aina ya Isuzu inayofanya safari zake baina ya Ukutini na mjini Chakechake wastani wa kilomita 20 ikiwa inaondoka mjini Chakechake kwenda kijiji cha Ukutini ili kukamilisha safari ya mwendo mmoja wa kuwasafirisha wananchi kutoka kijijini huko hadi mjini Chakechake,kwa nauli kati ya shilingi 1000 na shilingi 15,000 (Picha na Haji Nassor, Pemba)
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ATEMBELEA BANDA LA TCAA MKUTANO WA 18 WA PAMOJA WA
MAPITIO YA SEKTA YA USAFIRISHAJI
-
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, Disemba 15, 2025
ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika
Mkutano wa 18 wa...
22 minutes ago
0 Comments