Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Chuoni na KVZ Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ Imeshinda bao 1--0.

Mshambuliaji wa timu ya Chuoni akimiliki mpira huku beki wa timu ya KVZ akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo 1--0
Mshambuliaji wa Timu ya Chuoni akimuliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda 1--0
Beki wa Timu ya KVZ akiondoa mpira golini kwake.huku mchezaji wa Timu ya Chuoni akijaribu kumzuiya.  
Daktari wa Timu ya Taifa akimpatia huduma ya kwanza mshambuliaji wa Timu ya Chuoni baada ya kuumiwa wakati wa mchezo huo sehemu ya kiuno na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi kwa habari za daktari huyu hali yake inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu katika hospitali ya Mnazi mmoja na kuruhusiwa kurudi nyumbani.

Mshambuliaji wa T imu ya KVZ akiwania mpira na beki wa Timu ya Chuoni wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda bao 1--0



Mchezaji wa timu ya KVZ akijiandaa kuweka jaro golini kwa timu ya Chuoni. 
Kipa wa Timu ya Chuoni akidaka mpira wakati wa mchezo wao ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 1--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.