Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Azungumza na Wakuu Wapya wa Mikoa Baada ya Kuapisha Ikulu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kula kiapo cha Utii mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu Dar es salaam leo March 15,2016.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa baada ya hafla ya kuwaapisha leo Ikulu(Picha na OMR) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.