MGOMBE Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha ADC
Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akiwasili katika skuli ya Wawi kwa ajili ya kupiga
kura katika Uchaguzi mkuu wa Zanzibar.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Mkamo wa pili wa rais wa
Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akisalimiana na Mgombea Urais kupitia Chama
cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed wakati walipokutana katika kutuo cha kupigia
kura skuli ya Wawi Kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha
ADC Mhe: Hamad Rashid Mohamed, akitumbukiza karatasi yake ya upigaji wa kura ya
Urais katika sanduku maalumu la kupigia
kura.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha
ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kupiga kura katika kituo cha skuli ya Wawi Jimbo la Wawi kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment