Kiongozi wa Uomja wa Viongozi wa Kamati ya Pamoja ya Dini ya Amani akizungumza wakati wa Mkutano huo uliofanyika juzi mwera kuzungum,za kuimarisha Amani Zanzibar wakati huu wa kipindi cha Uchaguzi wa Marudio wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika mwishi mwa wiki hii .Kamati hiyo inaongoza na Viongozi wa Dini za Kiislamu na Kikristo Tanzanani Wajumbe wa Kamati hiyo ya pamoja ni Askofu Velentino Mokiwa, Askofu wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Dar es Salaam, Askofu Augustino Shao, Askofu wa Jimbo la Katoliki Zanzibar, AlHajj Mussa Salum, Shekh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Askofu Dickson Kaganda, Sheikh Norman Jongo, Mfanyakazi, Ofisi ya Mufti, Zanzibar, AbdulHamid Yusuf Mzee, Sheikh Tumbatu, Ismail Asakheri, Fr. Godda Muyya, Mwenyekiti wa Inter religious Peace Council, Tanzania
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WATIA FORA TAMASHA LA MABALOZI MJINI
THE HAGUE
-
Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Caroline Kitana Chipeta
akipongezwa na Meya wa Mji wa The Hague kwa Tanzania kuwa kivutio
kikubwa kwenye Tam...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment