MWANAFUNZI wa Skuli ya Mwambe Shamiani Msingi
akiwaimbisha wenzake nyimbo, wakati wa utekelezaji wa mradi wa kuwahamasisha
wanafunzi kupenda kusoma vitabu unaoendeshwa na maktaba kuu Pemba kupitia
ufadhili wa SIDA.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA)
WANAFUNZI wa skuli ya Mwambe Shamiani msingi
wakisoma vitabu walivyopatiwa na wakutubi wa maktaba kuu ya Pemba, wakati wa
utekelezaji mradi wa uhamasishaji wanafunzi kupenda kusoma vitabu,unaoendeshwa
na maktaba kuu Pemba kupitia ufadhiliwa na SIDA.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MMOJA wa wanafunzi wa skuli ya Mwambe Shamiani
Msingi, akiwasomea wenzake kitabu cha hadithi alichopewa na mkutubi wa maktaba
kuu ya Pemba, wakati wa uhamasishaji wanafunzi kupenda kusoma vitabu, Programa
hizo zilizofadhiliwa na SIDA.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA)
WANAFUNZI wa skuli ya Mwambe Shamiani Msingi
wakishindana katika kazi ya uchoraji wa picha, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa
SIDA unaondeshwa na Maktaba kuu ya Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA)
WANAFUNZI wa skuli ya Mwambe Shamiani Msingi
wakishindana katika kazi ya uchoraji wa picha, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa
SIDA unaondeshwa na Maktaba kuu ya Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA)
No comments:
Post a Comment