Habari za Punde

Rais wa Dk Shein Akiwasili Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibele Wilaya Kati Unguja.


Mgombea Urais wa Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Mama Mwanamwema Shein, wakiwasili katika viwanja vya Kituo Cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibele Zanzibae Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya kupiga Kura katika Uchaguzi wa Marudio wa Zanzibar Uliofanyila leo 20 March 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Viwanja vya Skuli ya Kibele Unguja kwa ajili ya Kupiga Kura leo asubuhi.  
Wananchi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar wakiwa katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibeli Zanzibar kwa ajili ya kutimiza Haki yao ya Kupiga Kura ya Viongozi.wao  

Wananchi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar wakiwa katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibeli Zanzibar kwa ajili ya kutimiza Haki yao ya Kupiga Kura ya Viongozi.wao  
Wananchi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar wakiwa katika mstari kusubiri kupiga Kura za Urais wa Zanzibar Uwakilishi na Udiwani katika Kituo cha Skuli ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika foleni kusubiri zamu yake Kupiga Kura katika Kituo cha Skuli ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja leo asubuhi.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika foleni kusubiri zamu yake Kupiga Kura katika Kituo cha Skuli ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja leo asubuhi.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika mstari akisubiri zamu yake kuingia katika Chumba cha Kupigia Kura katika Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya Kebele Wilaya ya Kati Unguja. 
Mawakala wa Vyama wVya Siasa wakiwa katika chumba cha Kupigia Kura Kituo cha Skuli ya Kibeli Unguja.
 Karani wa Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibele akimkabidhi Kura Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipofika Kituo hapo kupiga kura leo asubuhi.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiweka sawa kura yake kwa kujiandaa kuitumbukiza katika boksi la Kura katika Kituo cha Skuli ya Kibele Jimbo la Tunguu Zanzibar leo asubuhi,

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipiga Kura yake katika Kituo cha Skuli ya Kibele Jimbo la Tunguu leo asubuhi. 

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akikabidhiwa kura na Karani wa Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja leo asubuhi.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akipiga Kura yake katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja leo asubuhi.
Wananchi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar wakiwa katika mstari wakisubiri kupiga Kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Skuli ya Kibele Jimbo la Tunguu Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania vinavyoripoti Uchaguzi wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Kupitia Chama cha Mapinduzina Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiondoka katika kituo cha Kupigia Kura baaba kupiga Kura yake leo asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali waliomsindikiza wakati alipokwenda kupiga katikauchaguzi wa marudio leo katika kituo namba 1cha Skuli ya Kibele Bungi Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.