Mradi wa Uwekaji Taa zinazotumia nguvu ya jua ukiendelea katika maeneo mbalimbali ya barabara za Unguja kama inavyoonekana pichani ni moja ya sehemu ya barabara ya amani zikiwa tayari zimefungwa na kutowa huduma hiyo wakati wa usiku kutowa mwanga kwa watumiaji wa barabara hiyo.
No comments:
Post a Comment