Mradi wa Uwekaji Taa zinazotumia nguvu ya jua ukiendelea katika maeneo mbalimbali ya barabara za Unguja kama inavyoonekana pichani ni moja ya sehemu ya barabara ya amani zikiwa tayari zimefungwa na kutowa huduma hiyo wakati wa usiku kutowa mwanga kwa watumiaji wa barabara hiyo.
RUWASA na Hospitali ya Ndanda waanza ujenzi wa mradi wa maji
Mitanga-Ukombozi
-
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kwa kushirikiana na
Hospitali ya Misheni Ndanda inayomilikiwa na Shirika la Wabenedictine,
wameanza ...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment