Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amelifungua Jengi Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Jimbo la Mpendae Zanzibar

MUONEKANO wa Jengo Jipya la Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mpendae Juu, Jimbo la Mpendae Zanzibar lililofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

MUONEKANO wa Jengo Jipya la Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mpendae Juu, Jimbo la Mpendae Zanzibar lililofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Tawi jipya la CCM Mpendae Juu, Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Tawi hilo uliyofanyika 17-5-2025


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mpendae Juu Ndg. Hussein Mussa Hussein,baada ya kumkabidhi ufunguo wa Gari iliyotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu uliyofanyika 17-5-2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Katibu wa Tawi la CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja Ndg.Abdallah Mohammed Kundekuwa, baada ya kumkabidhi ufunguo wa Gari iliyotolewa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu uliyofanyika 17-5-2025

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi wa uliyofanyika 17-5-2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka jiwe la msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi wa uliyofanyika 17-5-2025
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe.Toufiq Salim Turky na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mpendae Juu, Ndg. Hussein Mussa Hussein na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussien Ali Mwinyi, akitembelea jengo jipya la Tawi CCM Mpendae Juu baada ya kulifungua 17-5-2025.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Toufiq Salim Turky,akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama wa CCM wa Jimbo la Mpendae, baada ya kulifungua jengo jipya la Tawi wa CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025.






MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wanachama Wapya wa CCM kutoka Chama Cha ACT-Wazalendo Ndg. Halima Abass Mohammed na Hamadi Mbarouk Juma, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Tawi la CCM Mpendae Juu Jimbo la Mpendae Zanzibar, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025.


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika 17-5-2025.
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi CCM Mpendae Juu Wilaya ya Mjini Unguja.
 
 




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.